Tunajivunia kuwaletea bidhaa mbili kuu za OBLICQ.
NGOLens ni ERP kwa NGO: programu na MEL, takwimu za uwandani na GIS, fedha, manunuzi, rasilimali watu na nyaraka katika jukwaa moja. Itembelee ngolens.oblicq.co.tz.
eVerify huweka msimbo wa QR kwenye hati rasmi ili yeyote athibitishe ndani ya sekunde kuwa ni halali na bado inatumika. Itembelee verify.oblicq.co.tz.
